Haya udiclee na interest yako sasa! Ulikuwa ni sehemu ya hao CHAWA mliopendekezwa na Waziri kwenda kula posho za bure huko Ivory Coast? Maana siyo kwa povu hili.
Hio Issue sikatai Mkuuu Swali Langu ni Kauli Yake ya KUSEMA AFCON Y MWAKA HUU NDIO IMEMFUNZA HICHO KITU! KUA MALEGEND WANAFAIDA...Hivi inaingia akilini serious Mkuu??
It Means yeye wakat wanachaguliwa kina Mwijaku aliona Fresh na Ivory coast walivyochagua kuwapa nafasi kina Drogba aliwaona washamba..Au ndio kukaa kimya alipgopa kukosoa wakat inatangazwa kamati?