Mchambuzi George Ambangile azawadiwa gari na Diamond Platnumz

Mchambuzi George Ambangile azawadiwa gari na Diamond Platnumz

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mchambuzi mahiri na ayetikisa kwa sasa kwa uchambuzi wa kina wa soka wa kipindi Cha sports Arena na sport court Cha Wasafi Media George Ambangile hapo Jana amepewa zawadi ya gari Aina ya CROWN na msanii wa kimataifa na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kwa kazi nzuri alionesha George Ambangile kwa kipindi kifupi tu tangu ajiunge na Wasafi Media.

George Ambangile anakuwa mtu wa tatu kwa kuzawadiwa gari na Diamond baada ya mtangazaji wa kipindi Cha burudani Aaliyah na diamond tweets anayehusika kwenye digital platform ya Wcb na Wasafi Media.

Big up Sana George Ambangile una deserve it work hard pay off. Natamani kwenye tansinia ya uchambuzi tungekuwa tuna watu wenye uwezo wa Ambangile au zaidi.
 
Back
Top Bottom