squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Yule mchambuzi matata wa soka aliyeitabiria simba kuburuza mkia ktk kundi lake ameibuka na kudai yeye ndiye ameipa hamasa simba mpaka imefika robo fainali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchambuzi underdog hakosi maneno kama mwanasiasa Hahahaha natafakari hapa kwa sauti ya upole sijui droo itakapochezeshwa j5 atatuita neno gani??Yule mchambuzi matata wa soka aliyeitabiria simba kuburuza mkia ktk kundi lake ameibuka na kudai yeye ndiye ameipa hamasa simba mpaka imefika robo fainali.
Ngekewa mechi tano!!!!Na kweli tatizo letu hatupendi ukweli Simba ni kama kapita kwa ngekewa tu
Ngekewa peleka kwenu huko. Kwenye soka hakuna kitu kama hicho, aliye shinda ameshinda and vice versa is trueNa kweli tatizo letu hatupendi ukweli Simba ni kama kapita kwa ngekewa tu
Na kweli tatizo letu hatupendi ukweli Simba ni kama kapita kwa ngekewa tu
Yule mchambuzi matata wa soka aliyeitabiria simba kuburuza mkia ktk kundi lake ameibuka na kudai yeye ndiye ameipa hamasa simba mpaka imefika robo fainali.
Hizi ngebe zittazimwa soon, mtanambiaNgekewa mechi tano!!!!
Hata kama hutaki ku admit just shut up.
Tena na timu zote zilichocheza makundi.
We motivate you kamahujui sasa, Leo usingefika hapo kwa ngekewa kama yanga asingekuwa wakimataifaTeh teh teh
Mliojiita eti wa kimataifa,kumbe mlikuwa,wazurulaji tu,mara zote mlizowakilisha nchi mlituaibisha tu,mapema sana mlikuwa mnatolewa,hamkuweza kutupa raha watz,mnaona wivu mnapoona wenzenu sasa ndio wanawakilisha vilivyo hilo neno la kimataifa,kwa kupata na matokeo chanya,acheni wivu,fanyeni kazi,majungu hayatawapeleka popote ndugu zetu vyura,Simba ni timu inayojielewa,mara zote mmekuwa mnaibeza lakini haikukata tamaa,pambaneni na hali zenu
Ujinga ni kuacha kushabikia timu yako naHizi ngebe zittazimwa soon, mtanambia
Nyani haoni kundule unababaishwa na mpira wakupwa nakujaa chini ya usimamizi wa tffUjinga ni kuacha kushabikia timu yako na
kukalia kuiombea mabaya wapinzani wako.Ndicho kilichowaponza jana kwenye mechi na Lipuli. Na kwa mwenendo huu wa kijinga mtaendelea kuwa washangiliaji.
Usinichekeshe kila mkiwakilisha taifa mnakuwa wa mwisho au kutolewa na vitimu vya ajabu ajabu tena kwa kufungwa nyumbani.We motivate you kamahujui sasa, Leo usingefika hapo kwa ngekewa kama yanga asingekuwa wakimataifa
Ndomana na kwambia uko obsessed mzigo wakumi uliojitwisha nani Alisha kupata aibu hiyo kama sio simba,tuna mengi yakujivunia kama timu Bora AfrikaUsinichekeshe kila mkiwakilisha taifa mnakuwa wa mwisho au kutolewa na vitimu vya ajabu ajabu tena kwa kufungwa nyumbani.
Give me a break huna lolote la kujivunia.
Hebu yaandike hayo ya kujivunia. Tatizo watu hawahesabu magoli wanahesabu pointi.Ndio maana Vita kawa wa mwisho.Ndomana na kwambia uko obsessed mzigo wakumi uliojitwisha nani Alisha kupata aibu hiyo kama sio simba,tuna mengi yakujivunia kama timu Bora Afrika