Mchambuzi matata Shaffih Dauda abadili gia angani...

Na kweli tatizo letu hatupendi ukweli Simba ni kama kapita kwa ngekewa tu
Ila sio kwa Jana kaka......yani katika hizo ngekewa uzitoe kabisa kwenye mechi ya kwanza na Js Soura pamoja na vs AS vital ya Jana......hizi mechi mbili Simba kapiga Mpira Mwingi saaanaaaa.........labda ile na Al ahly ya hapa nyumbn,,,,,,,,,,,,

By the way inabidi mjue tu kuwa Simba kapita na kuwa tu kwenye haya mashindano ni kwamba pia Anazidi kupata experience ya michuano mikubwa.....next time atafanya bora zaidi ya hapa.

Kama vile mtu akifeli mtihani jinsi inavokua inamsaidia kutambua makosa yake na kuyacorrect katika next exam.

Au unasemaje!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…