ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Huyu ramadhani Mbwaduke ni moja kati ya wachambuzi waliojipatia sifa katika uchambuzi hasa eneo la takwimu.
Mchambuzi huyu ni mzuri lakini ana mapungufu makubwa mno, kwanza hataki kabisa kuonekana ni shabiki wa timu Gani, japo Mimi najua. Na uchambuzi wake umejikita fair kabisa.
Kutokana na kutafuta views na kutaka kukubalika na timu zote Tanzania, mchambuzi huyu Mbwaduke anatumia staili ya Unafiki, na Kila mchezaji anayemchambua Huwa anamsifia tu na kutoa takwimu chanya.
Yaani huyu Kila mchezaji kwake ni Mzuri, mchezaji alifanya makosa anamtetea, huyu jamaa ni tofauti na wachambuzi wengine. Hapondi kabisa hata kama beki akijifunga atamtetea.
Lakini naamini atapata mashabiki wa timu zote