Mchambuzi Privaldinho wa Clouds FM tafadhali acha Kutuzidishia Machungu na Kutupandisha Hasira Watanzania wapenda Soka

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR Mwakani,' Privaldinho

Chanzo: Clouds FM Sports Extra leo.

Kwahiyo tuwaombee muende mkafungwe tena au? Kwa Umuhimu upi na gani mlionao kwa sasa kwa Watanzania mpaka tuwaombee?

Msitutibue mwishowe tupandwe na Hasira badala ya kuwaombea utakavyo / mtakavyo mwishowe tukawaombea Dreamliner au Bombardier iangukie Baharini na muwe Historia duniani.
 
Mkuu hayo.maneno, umeyatoa wapi mbona wengine hatujayasikia?hadi amemuuliza samatta, juu ya mechi ya jana, na umuhimu wa mechi hiyo ya j2, samatta akajibu kuwa , japo kwenye mashindano haya , wemeshatoka lakini mechi bado ina umuhimu, ktk mtizamo mwinhgine, kama kwenye ranking za fifa, na pia ni raha kumfunga mpinzani wako.Hayo mengine ni yako lakini hakuna sehemu ambayo huyo mtangazaji ametamka hivyo.
 
mpira wa bongo umeingiliwa sana, hivi nyie mnaojifny mmeumia sn kufungwa na DRC mpira mnaujua au maana binafsi nashindwa kuwaelewa kabisa
 
Back
Top Bottom