Bocco si aliingizwa dakika za jioni kabisa mpira kuisha, ni vipi useme yeye ndiye aliyeipeleka timu AfCON?Mayele ni na Diara sio wabongo Unaongelea wachezaji wepi?
Kama sio Bocco staz wasingetinga aivari kost, Bocco ni mchezaji wa Simba huyo ndio Mbongo og ameliheshimisha taifa
Tatizo lenu Yanga mko wabishi sana, staz hawakushinda jana, mchango na uwezeshaji wa Bocco tangu awali mashindano yalipoanza, mechi zote walioshinda staz ilikuwa ni kazi ya Bocco.Bocco si aliingizwa dakika za jioni kabisa mpira kuisha, ni vipi useme yeye ndiye aliyeipeleka timu AfCON?
Nimeongelea mechi ya jana, je utahitimishaje kwa mchezaji aliyeingia dakika ya 90 kuwa ndiye aliyeibeba timu wakati kuna kina Kibu wamepambana tokea sekunde ya kwanza ya mchezo hadi mwisho. Au Bocco aliingia akadaka penati? Au aliingia akafunga? Je asingeingia Bocco dakika hizo Stars wasingeweza kushikilia bomba kama walivyofanya dakika zote 80+?Tatizo lenu Yanga mko wabishi sana, staz hawakushinda jana, mchango na uwezeshaji wa Bocco tangu awali mashindano yalipoanza, mechi zote walioshinda staz ilikuwa ni kazi ya Bocco.
Kibu alifunga goli ngapi hiyo jana?Kibu wamepambana
Nimemtaja Kibu au ninetaja wakina Kibu? Kumbe ni mweupe ki maarifa kiasi hiko? Nimekwambia wakina Kibu waliopambana kwa dakika 80+ maanake ni Kibu na wachezaji wote waliocheza huo mchezo kwanzia sekunde ya kwanza hadi dakika zaidi ya 80. Usioneshe upumbavu kiasi hikoKibu alifunga goli ngapi hiyo jana?
Upumbavu umeuonesha mwenyewe, umemponda Bocco eti aliingia kucheza dakika ya 90, wakati huo huo unawafagilia 'kina Kibu' waliopambana dakika zote ilhali hawakufunga goli hata la kuotea 😂Usioneshe upumbavu kiasi hiko
Nadhani unakubaliana na hoja