Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
[emoji2788] @magunga_tz "Tunasema @yangasc ameshuka kiwango ukimlanginisha na wapinzani wa aina gani? kwasababu mpaka sasa kwa wapinzani aliokukutana nao kwenye ligi yeye amekuwa bora kuliko wao wapinzani naamini Yanga Sc
anashindanishwa na daraja ambalo alilitengeneza yeye mwenyewe na kingine hatuwezi kuijadili Yanga wameshuka kwasababu yakukosa magoli tuijadili Yanga kwa utendaji wao wa kazi kiujumla"
NB: Kwa lugha rahisi ni kuwa ....Yanga ni unstoppable.... which means Yanga inashindanishwa na kivuli chake ...timu nyingine zipo mbali sana
Je unakubaliana na hili??