Always nyuma mwiko anajilinganisha na Simba ndio maana pamoja na kwamba yeye aliwahi kufungwa goli 6 na mnyama lakini zile goli 5 zake zitabaki kuwa kumbukumbu ya milele.[emoji2788] @magunga_tz "Tunasema @yangasc ameshuka kiwango ukimlanginisha na wapinzani wa aina gani? kwasababu mpaka sasa kwa wapinzani aliokukutana nao kwenye ligi yeye amekuwa bora kuliko wao wapinzani naamini Yanga Sc
anashindanishwa na daraja ambalo alilitengeneza yeye mwenyewe na kingine hatuwezi kuijadili Yanga wameshuka kwasababu yakukosa magoli tuijadili Yanga kwa utendaji wao wa kazi kiujumla"
NB: Kwa lugha rahisi ni kuwa ....Yanga ni unstoppable.... which means Yanga inashindanishwa na kivuli chake ...timu nyingine zipo mbali sana
Je unakubaliana na hili??View attachment 3109179
Hata Manara anayelipwa kwa ajili ya KUIPAMBA YANGA, hana KIHEREHERE kama wewe![emoji2788] @magunga_tz "Tunasema @yangasc ameshuka kiwango ukimlanginisha na wapinzani wa aina gani? kwasababu mpaka sasa kwa wapinzani aliokukutana nao kwenye ligi yeye amekuwa bora kuliko wao wapinzani naamini Yanga Sc
anashindanishwa na daraja ambalo alilitengeneza yeye mwenyewe na kingine hatuwezi kuijadili Yanga wameshuka kwasababu yakukosa magoli tuijadili Yanga kwa utendaji wao wa kazi kiujumla"
NB: Kwa lugha rahisi ni kuwa ....Yanga ni unstoppable.... which means Yanga inashindanishwa na kivuli chake ...timu nyingine zipo mbali sana
Je unakubaliana na hili??View attachment 3109179
Ndugu mbumbumbu Yanga kwa apa Nchini hana mpinzani, kama unahisi Simba ni mpinzani wa Yanga rudi na kuangalia mechi zao wakipambana baina Yao nani ameibuka mmbabe mara nyingi zaidi.Always nyuma mwiko anajilinganisha na Simba ndio maana pamoja na kwamba yeye aliwahi kufungwa goli 6 na mnyama lakini zile goli 5 zake zitabaki kuwa kumbukumbu ya milele.
Hii ni rahisi tu haiihitaji kuwa na D 2,ushindi mkubwa dhidi ya mbabe wako,unakupa furaha isiyoisha bila kujali uliupataje.
Hii ndio yanga ninayoijua.Kwa sasa inateseka na ranking za CAF,wako tayari Simba ashuke chini yao ila sio wao kwenda juu ya Simba
Hana mpinzani una maana Gani? Kwamba yanga hajawahi kukosa vikombe mbele ya timu nyingine. Au ndio wenye akili huko wameshazeekaNdugu mbumbumbu Yanga kwa apa Nchini hana mpinzani, kama unahisi Simba ni mpinzani wa Yanga rudi na kuangalia mechi zao wakipambana baina Yao nani ameibuka mmbabe mara nyingi zaidi.
Wewe chagua kipande chochote kurudi nyuma, kama mechi Tano, 10 , 15 n.k zilizo fatana kwa michuano yote alafu utapata jibu.
Ndio maana tunasema Yanga ndio timu iliyo ifunga Simba maranyigi zaidi kuliko timu yoyote apa Nchini.
Anachofanya Yanga ni total dominance katika mpira wa miguu na uongozi katika mpira apa Nchini.Hana mpinzani una maana Gani? Kwamba yanga hajawahi kukosa vikombe mbele ya timu nyingine. Au ndio wenye akili huko wameshazeeka
Na timu iliyoifunga yanga mara nyingi zaidi ni ipi?Ndugu mbumbumbu Yanga kwa apa Nchini hana mpinzani, kama unahisi Simba ni mpinzani wa Yanga rudi na kuangalia mechi zao wakipambana baina Yao nani ameibuka mmbabe mara nyingi zaidi.
Wewe chagua kipande chochote kurudi nyuma, kama mechi Tano, 10 , 15 n.k zilizo fatana kwa michuano yote alafu utapata jibu.
Ndio maana tunasema Yanga ndio timu iliyo ifunga Simba maranyigi zaidi kuliko timu yoyote apa Nchini.
Kitu Gani kikubwa ambacho club nyingine haijawahi kufanya labdaAnachofanya Yanga ni total dominance katika mpira wa miguu na uongozi katika mpira apa Nchini.
Simba ni timu iliyofungwa mara nyingi zaidi na Yanga, kuliko timu yoyote katika historia.Always nyuma mwiko anajilinganisha na Simba ndio maana pamoja na kwamba yeye aliwahi kufungwa goli 6 na mnyama lakini zile goli 5 zake zitabaki kuwa kumbukumbu ya milele.
Hii ni rahisi tu haiihitaji kuwa na D 2,ushindi mkubwa dhidi ya mbabe wako,unakupa furaha isiyoisha bila kujali uliupataje.
Hii ndio yanga ninayoijua.Kwa sasa inateseka na ranking za CAF,wako tayari Simba ashuke chini yao ila sio wao kwenda juu ya Simba
Simba pia ndio timu iliyoifunga Yanga mara nyingi sana kuliko timu yoyote duniani. Unajua kwanini. Ndio timu zilizllokitana mara nyingi zaidiNdugu mbumbumbu Yanga kwa apa Nchini hana mpinzani, kama unahisi Simba ni mpinzani wa Yanga rudi na kuangalia mechi zao wakipambana baina Yao nani ameibuka mmbabe mara nyingi zaidi.
Wewe chagua kipande chochote kurudi nyuma, kama mechi Tano, 10 , 15 n.k zilizo fatana kwa michuano yote alafu utapata jibu.
Ndio maana tunasema Yanga ndio timu iliyo ifunga Simba maranyigi zaidi kuliko timu yoyote apa Nchini.
Hapana mkuu....sikiliza maneno ya mchambuziAlways nyuma mwiko anajilinganisha na Simba ndio maana pamoja na kwamba yeye aliwahi kufungwa goli 6 na mnyama lakini zile goli 5 zake zitabaki kuwa kumbukumbu ya milele.
Hii ni rahisi tu haiihitaji kuwa na D 2,ushindi mkubwa dhidi ya mbabe wako,unakupa furaha isiyoisha bila kujali uliupataje.
Hii ndio yanga ninayoijua.Kwa sasa inateseka na ranking za CAF,wako tayari Simba ashuke chini yao ila sio wao kwenda juu ya Simba
Haya sio maneno yangu mkuu.....nmenukuuHata Manara anayelipwa kwa ajili ya KUIPAMBA YANGA, hana KIHEREHERE kama wewe!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Yaaah mkuu sahihiNdugu mbumbumbu Yanga kwa apa Nchini hana mpinzani, kama unahisi Simba ni mpinzani wa Yanga rudi na kuangalia mechi zao wakipambana baina Yao nani ameibuka mmbabe mara nyingi zaidi.