Mchana mlikuwa wapi???

Kumbe watongozaji?Mi nlidhani ndugu na marafiki.Waambie wasikupigie au kama una mtu wako muombe apokee yeye uone kama wataendelea!
 


ni yule yule wa vocha au mwingine? loolz
 
:lol::lol::lol: @ Samora
huyo sio mimi jamani ni mtu namfahamu mwenye mume anayepigiwa simu usiku na vimwana
 





Kuna watu wengine ni kawaida yao wakishalewa wanaanza kusumbua watu kwa masimu yasiyo na maana,na kwa muda ulioutaja inaonekana ndio asilimia kubwa huwa wanakuwa wameshalewa,hivyo ni bora watu wa hivyo kuwanyaukia tu na kutopokea simu zao na akizidi kukusumbua unamzimia simu kabisaaa,akijaribu mara mbili tatu hatarudia tena wala hakuna haja ya kugombana naye..
 
Reactions: LD

hinaweza kuwa wanakuwa bize sana mchana wanapata muda wa kupiga simu usiku (sio usiku sana lakini), kama ni usiku sana na ni mtu fulani tuu basi ana dalili za kukutaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…