Mchana wa kutisha

Uko sahh huyu atakuwa amepitia wakat mgumu sn kimalezi na hata kimahusiano anastress sn. Lakn wengi tumepitia manyanyaso lakn hatujaruhusu kuwaumiza wengine.
Kwani kuongea kitu mpaka upitie kama ww ulivyowasilisha mada na mimi nimewasilisha maoni yangu vile vile kwani mpaka yanitokee mimi ndo niseme hata yakitokea kwa jirani au kwa watu wetu wa karibu kama ww ulivyoona na kuja kuhadithia hapa
 
Je baba mtot wako ulimshirikisha hili ?


Mm binfsi mwaka 2015 nikiwa mitaya ya kwa kina kyagata sekei Arusha nilikuwa ktk pitapita zangu kutafuta wateja wa kununua tofali zangu katk sati zinazojengwa mtaani uko ,bas bhna nilifika mahali nimebanwa na mkojo nikasema ngoja niingie kwenye pagala nikojoe Kisha niendelee na mamb yangu ..nafika langoni pa kuingialia nawakuta watot wa wili wakike na kiume miaka kati ya mitano HV wote wamefua nguo zote wameziweka pembeni Cha kike kimelal Chini Cha kiume kipo juu anaangaika kuingiziwa lkn wapi ..nikarud nyuma chapu niwachungulie vzr aisee dogo aliangaika kuingiza lkn wapi bas akabakia juu anachezewa tu kujifanya anapeleka Moto .nilichokifanya nikafuta fimbo nzuri kbsa nikawafamia aisee aloo walikula viboko vya faster faster huku wakikimbia uku na kule kutaka kuchukua nguo zao walizo week pembeni ,nimewapiga viboko Kama za kiutu uzima wakaanza kushaa machozi na mayoe walivyoona viboko vimezidi wakakimbia nnje nikawatimu wakiwa wakakinbilia mashambani huku wanaangua vilio chapu nikachukuwa nguo nikawapelekea wazaz wao nikawarushia Chini naikawambia nimeziokota nguo za watot wenu nikasema. Niwapitishie .mpka dakik hi naona Kama naliona tukio la hao watoto wakijamianaa kwa umri ule

Pole sna kwako



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Matukio ya aina hii ni mengi sn jaman tujitahid kuwa karibu Yao.
 
Kosa kubwa ulilofanya ni kuruhusu watoto wadogo wacheze na mtoto aliyewazidi umri karibia mara mbili.Sio jambo sahihi.Ingekuwa haupo karibu ingetokea balaa lakini nataraji limekuwa funzo.
 
Ulawiiti umeshika hatamu. Kesi nyingi zinazoshughulikiwa kwenye mahakama za watoto kwa sasa ni kesi za ulawiti. Tuwe makini na watoto wetu
 
Kosa kubwa ulilofanya ni kuruhusu watoto wadogo wacheze na mtoto aliyewazidi umri karibia mara mbili.Sio jambo sahihi.Ingekuwa haupo karibu ingetokea balaa lakini nataraji limekuwa funzo.
Ni kweli nimejifunza
 
Reactions: Tui
Pambana na mama yako wa kambo au keo aliyekuulia mwanao au mama yako aliyeua mtoto wa kambo. hasira wapelekee wao sio kuja kubwatuka tu mtandaoni
Kwani kuongea mpaka linifike mimi au niwe nimepitia mimi what if nimeshuhudia kwa jirani akimfanyia mtoto hayo ninayo yasema acheni roho mbaya wanawake shenzi kabisa
 
Acha kuzaa ovyo ovyo!!!!!
 
Usijisahalishe mimbata na stick ulizokuwa unakula toka kwa mama yako mzazi,unless otherwise hujalelewa nae...Ila angepigwa hizo mbata mtoto wa baba yako ukoo mzima ungesema anateswa...Kuna mambo yanakuzwa Sana.
 
Nakuelewa mleta mada. Bila nguvu zake Mungu ni kazi bure. Tujitahidi ila na tuwe tukisali na kusoma vitabu vya Mungu pamoja hasa mistari yenye kukataza machukizo kama hayo mbele za Mungu
Hakika umesema vizuri.Hii Ni sawa na tulivyojifunza kwenye Zaburi 127:1-5....Bwana asipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure
 
Umefanya kosa kubwa sana ambalo mwanao angekulaumu mpaka kifo kama angekuwa anajitambua.
Hiyo mbuzi ilitakiwa uikamate alafu unapiga mpaka akose fahamu na sio kwa fimbo tu. Piga mateke, ngumi, vichwa unachanganya vyote pumbav. Kwa hasira zangu huyo dogo angekuwa anapumulia mashine.

Na kingine mtoto wa kiume hatakiwi kulelewa kimayai unatakiwa umfundishe ubabe, ukatili, kujilinda, kujitetea na kutawala watoto wengine tangu mdogo na atambue yeye ni mwanaume na kazi yake ni ipi hakuna kufichaficha. Na upige marufuku kwenda kucheza mbali au kuzurura mitaani hovyo kama kuku, piga marufuku marafiki asiosoma nao shule na wale unaona wana tabia zisizoeleweka. na hakikisha unajua marafiki zake wote anaocheza nao kiundani, wazazi wao na sehemu wanazoishi.

Mtoto wa kiume unatakiwa kumfundisha hakuna mtu yoyote anayetakiwa kugusa sehemu yoyote ya mwili wako hata kwa bahati mbaya na mtu yoyote akijaribu anachotakiwa kufanya sio kukataa tu na kulialia bali anatakiwa anyanyue ngumi na kupiga hiyo ndama, ngumi haitoshi chukua mawe, fimbo chochote kile na ahakikishe anaifundisha hiyo ndama kwamba mimi ndio kidume hapa!

Kesi za watoto kupigana ni kitu cha kawaida sana na ukisikia mwanao wa kiume amepiga na kuvunja mtu huko shule au mtaani nenda kamtetee na akirudi nyumbani mpongeze na umwambie wewe ndio mwanaume, wewe ndio jembe langu, wewe ndio baba la baba na leo utakula chakula unachokipenda mwambie dada aandae ndizi nyama kwa ajili ya kingi langu limetimiza wajibu wake wa kiume.

Ningeendelea ila nitajaza page nzima, lakini psychologically ndio njia pekee ya kumlinda mtoto wako wa kiume na itakayomfanya mtoto wa kiume ajue yeye ni nani na wajibu wake ni upi hapa duniani. Itamfanya ajiamini kupitiliza, kujiona bora kuliko mtu yoyote na kutawala kila mtu na hili ndio lengo hapa.

Na cha kuhudhunisha zaidi ni kwamba haya malezi niliyoyaelezea huwezi kuyakuta kwa mwanamke au mama ambaye mara nyingi utakuta anafundisha watoto wa kiume kupika na kuosha vyombo, hivyo wale wanaosema azalishwe alafu atalea mwenye basi wajiandae kupokea mlipuko mzito wa hayo mabomu. Mwanaume ndio nguzo kuu ya familia na kioo cha kujifunza kwa mtoto wa kiume. Narudia: mwanaume ndio nguzo kuu ya Familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…