mchane live

muluvigwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
263
Reaction score
84
heti bandugu najamaa kwanza naomba nijitambulishe rasmi nami nimo kundini. halafu nauliza kuna kosa lolote la mtoto wakike kumchana live mwanaume kama anampenda kimapenz?
 
ni sawa, tu, mbona siku hz ni haki sawa,
 
heti bandugu najamaa kwanza naomba nijitambulishe rasmi nami nimo kundini. halafu nauliza kuna kosa lolote la mtoto wakike kumchana live mwanaume kama anampenda kimapenz?

Pita ndani.:flypig::A S 465:
 
Karibu ndani, upewe maji ya kunywa...halafu ndio tupige soga eenhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…