Mchanga na kokoto za kujengea

liolio

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Ndugu zangu wana jf naombeni ushauri. Kwa ufupi nataka kufanya biashara ya kusambaza mchanga na kokoto, ila kabla ya kuanza ningependa kujua yafuatayo
. Biashara hii ipoje?
. Sehemu ya kupata malighafi
. Masoko yake yapoje?
. Mtaji kiwango cha chini cha kuanzia

Tafadhali sana naomba ushauri wenu...!!
 
kabla ya yote ulitakiwa kusema mahali ulipo na unapotaka kuifanya hiyo biashara
 
Nipo Dar es salaam mkuu.
Na hiyo biashara nataka kuifanyia hapa hapa Dar Es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…