St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Wadau naomba kujua gharama ya kuniletea Mchanga wa Kibahaa Lori 1 na Kokoto toka Lugoba.. Nipo maeneo ya Kibamba.. Hapa kwenye kokoto sijaamua bado kama ninunue Kokoto za kwenye Semi au Mende. Kama kuna mdau wa biashara hizi naomba aje na bei zake.. Natanguliza shukrani..