Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Mkuu namba haipatikani, chek me for some business issues!
 
Mkuu hongera kwa biashara nzuri yenye lengo la kusaidia biashara zinazoanza na za kati. Mimi nataka kufungua biashara ya kusupply maji kwa malori, naweza pata

1. Business Advice ya namna ya kufanya hiyo biashara
2. Kuandikiwa business plan

Nitashukuru sana kwa msaada, hope bei itakuwa pouwa.
 
Loh hongera sana mkuu, fanya endelea na moyo wa kusaidia vijana. Tuhitaji kusajili NGO ya vijana, naomba utupe kwanza ushauri na utengenezaji wa documents zote zinazohitajika. Big up sana.
 
Loh hongera sana mkuu, fanya endelea na moyo wa kusaidia vijana. Tuhitaji kusajili NGO ya vijana, naomba utupe kwanza ushauri na utengenezaji wa documents zote zinazohitajika. Big up sana.

Thanx...most welcome
 
Thanx wadau ambao mmetupigia, tupo pamoja kuujenga uchumi wetu hasa wa vijana na wajasariamali.
 
Thank you guys, kwa wale tuliofanya kazi pamoja na wale tunaoendelea nao na wale mtakao kuja. Kwa kifupi you will never regret. Karibuni tena hasa wajasiriamali wadogo na wakati, pamoja tunaweza njoo ukutane na integrity and professionalism ya kiwango cha juu huku price ikiwa over reasonable.
 
Habari wana Jf.
Nimejaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuandaa wazo la biashara (business plan) ila nahisi kuwa ninakosea.
Tafadhari wanataaluma nisaidie hata zile general principles ili niandike andiko hili.
Tayari ninawazo, kuliweka katika maandishi imekuwa tatizo.
Nisaidieni bila dhihaka.
 
Ndg. nakushauri wasiliana na wataalamu wa biashara ili kuweza liweka wazo lako kitaalamu zaidi !!!
 
Mkuu hiyo shuhuli uwaga ina-price tag. Sasa hapo sijaelewa vizuri kama upo tayari kulipia hiyo plan au unataka tu msaada kama ile misaada tunatoa JF Doctor na MMU. Em fafanua kidogo hapo
 
Business idea...wazo la biashara.
Business plan...?
 
Pitia hii link: Free Business Courses - My Own Business

Anza kwa kuisoma kwa undani hiyo website na uone sehemu ambazo unahisi zitakuwa na msaada kwako. Ukiwa na tatizo lolote la ziada kuhusu business plan unaweza niandikia kwa email; faizafoxy@yahooo.com
 
Reactions: EMT
oyaa, FaizaFoxy, mbona unataka kuaribu mchongo wa hela aise.... Au kuna kimtego umeeka hapo kwenye neno FREE!

Hakuna mchongo, najaribu kumpa support kijana wetu, akipitia kwangu nimfanyie business plan hatoweza kuzimudu gharama zangu, minimum huwa nna charge US$ 5,000/= + VAT as my basic fees na gharama (expenses) zingine zote analipia kama zilivyo.
 
Hee?! FaizaFoxy, iyo business plan ya kwako itakuwa ya Barrick Gold nahisi; huyu ni wa business plan za laki 300,000. Ukimpatia bure na sisi wa business plan za laki tatu tukale wapi sasa...
 
Hee?! FaizaFoxy, iyo business plan ya kwako itakuwa ya Barrick Gold nahisi; huyu ni wa business plan za laki 300,000. Ukimpatia bure na sisi wa business plan za laki tatu tukale wapi sasa...

Ndiyo maana nikasema nampa support, hawa ni vijana wetu ni lazima tuwape support kila tunapoweza na hapa ameingia kwenye fani yangu.

No. Za kina Barrick Gold ni gharama kubwa sana na zinachukuwa muda sana, business plan ya kazi kubwa kubwa inaweza kuchukuwa zaidi ya miaka miwili kuifanya na ina involve mambo mengi sana (facts and figures) na inabidi kuhusisha wataalam wa fani mbali mbali.
 
Nini sasa faizafoxy! tukale wapi sie? noma kweli mtu wangu umeharibu mchongo kabisa!

Ukitaka kupata zaidi ni lazima utowe. Usiwe mbakhili.

Kama fani yenu kufanya hizi business plans ndogo ndogo mseme tu, ntawasukumia vikazi vingi tu. Msitaharuk.
 
Mkuu hiyo shuhuli uwaga ina-price tag. Sasa hapo sijaelewa vizuri kama upo tayari kulipia hiyo plan au unataka tu msaada kama ile misaada tunatoa JF Doctor na MMU. Em fafanua kidogo hapo

Mnhhh, na wewe nae, kaandika anataka kusaidiwa, hebu msizidi kumzonga kijana wa watu.

Nyie kama hii ni fani yenu niambieni, ntawasukumia kazi nyingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…