Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Ahsanteni saana wadau kwa mawazo yenu yaliyonijenga na hatimae kwa mkono wangu mwenyewe nikitumia resources nilizozipata hapa, niliandika Business plan japo haikuwa professional kwakuwa nilikuwa siipeleki bank, imenisaidia sana kufanya kazi kwa kufuata plan na mpaka sasa mradi umeshaanza na mungu anajaalia.

Cha msingi ni wazo na malengo ya kulifikia wazo, nimeanzia chini sana ila ninahakika nitafikia malengo makubwa ndani ya muda niliojiwekea. Ahsanteni saaana na sitasita kuja kuwaomba ushauri wenu tena pindi ntapokwama. Na nikifanikiwa ntakuja kuweka uzi wenye makala juu ya nimechofanya na kufanikia.

Ahsanteni nyote.:A S 41::doh:
 
Business plan ni mwongozo ambao unatoa picha halisi ya biashara itakavyokuwa na ni jinsi gani inavyoweza kuzalisha fedha na kulipa mkopo.Sasa nawakarisha ili tuweze kuandaa na kupata business plan ambayo inakidhi vigezo vya bank.
Wajasiriamali na wanajamii forum wote nawakaribisha. Ushauri pia unatolewa kwa miradi yote
0713 65 98 28
Karibuni sana
 
i want to open an online shop selling books, magazines and music.. do i need one?
mnatoa na ushauri, mnaishia kuandika tu hayo mambo?

Mkuu tunafanya vyote hivyo hapo, karibuni sana.....
 
nahitaji msaaada wa kupata simple business plann formati ambayo nawezakujust fill in the gap na mwisho wake when niki compali full business plann

:help::help:
 
nahitaji msaaada wa kupata simple business plann formati ambayo nawezakujust fill in the gap na mwisho wake when niki compali full business plann

:help::help:
kindly contact me....
 
Habari ndugu,
Kama unahitaji business plan format hebu nichek kwenye 0713 65 98 28 ili tuzungumze kwani nna plan nyingi sana
 
Habari ndugu,
Kama unahitaji business plan format hebu nichek kwenye 0713 65 98 28 ili tuzungumze kwani nna plan nyingi sana

Nitumie sample
1. Biashara ya duka
2. Biashara ya ufugaji mifugo I.e kuku, nguruwe, mbuzi
 
Nitumie sample
1. Biashara ya duka
2. Biashara ya ufugaji mifugo I.e kuku, nguruwe, mbuzi

Habari ndugu yangu!
Natumai umeziona na ubora wake!nmekutumia hizo copy then uone na kama kuna kitu kitasumbua naomba tuwasiliane!
 
Habari ndugu,
Kama unahitaji business plan format hebu nichek kwenye 0713 65 98 28 ili tuzungumze kwani nna plan nyingi sana
Kama utaweza Mkuu nami naomba sampuli ya bankable business plan kwa ajili ya kilimo cha mahindi say kwenye ekari mbili hivi. Unaweza kunipm au kupitia email yangu - trdse2002@yahoo.com kama haikisumbui plz. Natanguliza asante zangu.
 
Habari ndugu yangu!
Natumai umeziona na ubora wake!nmekutumia hizo copy then uone na kama kuna kitu kitasumbua naomba tuwasiliane!

Mkuu mbona sijaziona?? Tuma to maseled9@gmail.com nd I will send u my feed back after nimeona hizo sample
Shukran
 
mbona haya mambo yanaenda kiukoo? mara nimeshakutumia, mara nipigie...wekeni hadharani tuelimike.
uchoyo huo!
 
mbona haya mambo yanaenda kiukoo? mara nimeshakutumia, mara nipigie...wekeni hadharani tuelimike.
uchoyo huo!

Habari ndugu yangu!
Ni sawa kabisa unachokisema cha kupata elimu! Lakini kumbuka mahitaji yako si sawa na ya mtu mwingine,ndio maana tunatoa mawazo kwa mahitaji ya mtu! Wala sio kiukoo rafiki yangu! Business plan ina vitu vingi sana but nina mpango wa kuanza kuichambua mwanzo mpaka mwisho ili watu wajue nini maana yake na umuhimu wake! Format ya business plan ya mbuzi na mahindi haiwezi kuwa sawa kwani products ni tofauti but contents za plan zinaweza kuwa sawa! Mfano:mbinu za uendeshaji wa biashara ya mahindi na mbuzi ni tofauti.
Pia ndugu namba za simu zinasaidia mawasiliano pindi mtu anapokuwa offline na anahitaji kujua kitu,ni rahisi kupiga na kupatiwa msaada!
Ahsante.
 
Karibuni tena wadau, soon tutawaletea huduma ya taarifa za mitaji kwa wajasiria Mali wadogo na wa kati, don't miss funding information. Stay tuned....
 
bei yako nzuri sana!!

 
business plan ni mwongozo unaotoa dira na jinsi biashara nzima itakavyokua inaendeshwa na itakuwa inajihusisha na nini,pia ni kwa namna gani mzunguko wa fedha utakavyokuwa.
Business plan outline!.....
1.cover page
2.executive summary
3.business description,
4........(waiting for your comment)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…