Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS



Mkuu kutakuwa hakuna busara kama michango yetu itasababisha tutatoka nje ya mada kama uliyoianzisha kufuatana na kichwa cha habari chake.

Nafikiri pia ingekuwa busara sana uendelee kuwafundisha jinsi ya kuandika business kwa sababu kuna watu wako serious wanataka kujua kuandika business plan.

Pili ni busara kubwa sana kujua kwa undani zaidi unachotaka kufundisha au kuongea kuliko kufanya kazi za kubahatisha (guess work).

Tatu nafikiri ingekuwa busara sana kufundisha kwanza business plan kwa fuatia mpangilio wa: Nini ni business plan? Ni wakati gani niandike business plan? Ni nani anahitaji business plan? Kwanini aandike business plan?

Mwisho naomba utumie experts advice pamoja na solid classroom and practical experience
kama umebarikiwa navyo na siyo kama unavyotaka wewe au moyo wako unavyokutuma.


 

Ok-Noted!
 
unapotaka kuanzisha biashara, lazime ujue ni nani atakuwa mteja wako!
Hii itakusaidia kupanga mikakati itakayokuwezesha kuuza,kusambaza na jinsi wateja wako watavyokufikia. Pia hii itakupa uhakika wa uzalishaji kulingana na mahitaji ya wateja wako! Unapoandaa marketing strategy,basi huna budi kuwa na uhakika wa wateja na utambue sifa zao.
 
habari mwanajf: natumai harakati za biashara na michakato mbalimbali inaendelea vizuri!
Je,umeshapata wazo la biashara na unahitaji kuliweka katika maandishi? Basi haujachelewa sana kwani muda ndio huu! Anza kuandaa business plan yako sasa na kama kuna sehemu utakwama basi usisite kuniuliza ili tuweze kuikamilisha!
 
Mkuu, ofisini kwetu tunahitaji kutengenezewa/ kuelekezwa kutengeneza strategic plan, inawezekana mkafanya?

Ndio mkuu, tunatengeneza pia strategic plan nzuri za ubora wa hali ya juu na bado kwa bei ambayo ni very competitive Tanzania.

Karibuni nyote.
 
naombeni mnitajie mambo muhimu ya kuzingatia katika kuandika mchanganuo wa biashara(business plan) coz nahitaji niandae mchanganuo
 
Business Plan Outlines …
[h=1]1 PROGRAM DESCRIPTION[/h][h=2]1.1 Business Concept[/h][h=3]1.1.1 Product Description[/h][h=3]1.1.2 The Primary Customers.[/h][h=1]1.2.0. ORGANIZATION DESCRIPTION:-[/h][h=1]1.2.1. VISION:-[/h]1.2.2 MISSION:
1.2.3. OBJECTIVES:
1.2.3.1. GENERAL OBJECTIVE:
1.2.3.2. SPECIFIC OBJECTIVE:
1.2.4.0 BACK GROUND INFORMATION:
1.2.4.1. Local situation
1.2.4.2. BUSINESS LOCATION:
1.3. THE ECONOMY AND INDUSTRY FACTORS SURROUNDING THE BUSINESS
2.0. SPONSORSHIP, GOVERNANCE AND TECHNICAL ASSITANCE
2.1. Ownership and Governance:
2.2. Governance structures and Assurance system.




  • Technical Arrangements and other external Assistances.
3.0. MANAGEMENT AND MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM
3.1. Management information system
3.1.1 Accounting system:-

  • The credit and saving monitoring system:
  • Client impact tracking system:-
3.2. Current and proposed management arrangements
3.3. INFORMATION ON KEY PERSONNEL:
3.4. PLANNING, CONTROLLING AND MONITORING SYSTEM:
4.0 TECHNICAL FEASIBILITY AND MANPOWER
4.1 Special Technical complexities
4.2 Requirement for skilled and unskilled manpower

  • Employees
    • Member /Clients.
4.4. PROJECTED OPERATING COSTS:-
4.5. PAST PERFORMANCE
5.0. PROGRAM FINANCING AND EXPECTED RETURNS
5.1. Timing of financing required and amount.
5.2.0 Projected Financial statements Sensitivity, profitability and return on investment.
5.2.1. Profitability, Efficiency and Lasting Survival.
5.2.2. Financial Safety
5.2.3. Savings and Credit Services Offering
5.2.4 Political, Economic, Competitive and legal factors that may in fluency the program.
6.0. PRODUCT MARKET AND DELIVERY METHODS.
6.1. PRODUCT AND SERVICE TO BE OFFERED.

  • Basic Orientation of the local market
  • CRITICAL FACTORS DETERMINING MARKET POTENTIAL
  • Projected Volumes Marketing and competitive analysis
  • Lending procedures in place Appraisal Methodology and portfolio monitoring procedures.
    • Potential present and anticipated customers
  • Disbursement mode used
    • FUTURE COMPETITION AND COMPETING STRATEGIES
6.8.1 Competitor’s array

  • Product differentiation and competitive advantage.
    • SWOT Analysis.
    • The competitive forces

7.0. GOVERNMENT /DONORS SUPPORT AND REGULATION
7.1. Project description in context of government economics development.
7.2. Specific government incentives and support available to the program.
7.3. Expected contribution of the program to the economic development.

  • Government regulation on fund pricing and their impact on the program.
  • Nature and extent of support
  • 8.0. SECURITY AND RISK MITIGATION
  • TIMETABLE ENVISAGE FOR PROJECT / IMPLEMENTATION AND COMPLETION
    • Timeline for the program
    • Financing Sequence
  • PROGRAM SOCIO-ECONOMIC BENEFITS
 
habari.....
Hongereni sana kwa kuendelea kuelimishana kuhusu biashara na mambo mbalimbali ya kiuchumi!
Nashauri kuwa,biashara yako lazima iwe na malengo!
 

Hii Kitu yako balaa, huwezi hata pumua, nondo baada ya nondo
 
poa mkuu nta ku pm hofu yng ni kuibiwa wazo langu hyo ndyo inaleta shida kdogo

You are more than this mkuu.u wanna kill your dream in just 5 minutes bro?bora uwe mvumilivu vinginevyo idea yako utaona ishafanywa na wajanja.
Watchout watu si wema kihivyo
 
Kama kuna mtu anahisi anawazo la biashara na anahitaji kulifanyia kazi, naweza nikatoa msaada huo kwa kukusaidia namna ya kuandika business plan au hata mimi mwenyewe nikakuandikia, kwa mfano unaweza kuwa na wazo la kufungua bucha, internet cafe, car wash n.k lakini hujui namna ya kuanza. Basi unaweza kupata msaada. Ukiwa na business plan ni hatua moja muhimu ya kuendelea kibiashara, biashara nyingi zinakufa kwasababu zilikosa mipango yakinifu ya uendeshaji wake tangu mwanzo.... Hivo kama unahitaji business plan waweza ipata..

"give me your five words idea, then i will produce a thousands words, charts, graphs to guide your business operation"
 
Ainisha vizuri sasa,uko wapi? unafanya hiyo kazi kwa shilingi ngapi au bure?
 
Mi nipo hapa Dar. ni fresh graduate katika uchumi lakini nimekua nikijifunza haya masuala ya business plan kwa kipindi takriban miezi tisa iliyopita na kwa sasa nipo katika nafasi nzuri ya kuandaa business plan. So kwa sasa bado siwezi kuongelea masuala ya cost kwanza, ila naweza sasa kuanza kuandika kama unawazo babras na TZ kwanza msihofu kuhusu cost, naweza kuwafanyia kazi then mkiridhika nayo ndo mnaweza kunilipa what you will think i deserve.... ila baadae kidogo i will formalize it kwasababu ntakua na website yangu if possible na office kabisa.
 
Ok mkuu.wa kwanza mimi.Nataka kuanza biashara ya mziki.Kukodisha mzki katika harus,hafla,promotion na matamasha.
 
whats the cost
Kwasasa cost itategemea, kama nikishakuandikia then ukaridhika nayo ndo unaweza we mwenyewe ukafanya valuation za malipo "by now (short-run) consumer has the power on price"

Garama pla
Kwasasa cost itategemea, kama nikishakuandikia then ukaridhika nayo ndo unaweza we mwenyewe ukafanya valuation za malipo "by now (short-run) consumer has the power on price"


Ainisha vizuri sasa,uko wapi? unafanya hiyo kazi kwa shilingi ngapi au bure?
Nipo Dar, kuhusu malipo: kwasasa sijaamua malipo mpaka pale ntapokuandikia hiyo plan na ukaridhika nayo ndo evaluation ya malipo itafanyika

Ok mkuu.wa kwanza mimi.Nataka kuanza biashara ya mziki.Kukodisha mzki katika harus,hafla,promotion na matamasha.
Nimeshachukua wazo lako nalifanyia uchambuzi, kati ya leo au kesho ntakutumia questionnaire ambayo itanisaidia mimi kupata information muhimu kwa ajili ya kuandaa plan.
 
All in all, you can have such good guide, but converting your business idea into this guide to soun
d professional needs good writing and presenting skills. So kwa wale wasio na such skills and time, I suggest to find firms or individuals skilled on this, your business plan will be well prepared.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…