Unatafutwa kutapeli wewe. Kuna watu wameshaanza kuinyemelea bila ya wewe kujua. Namba za simu unazopewa ndizo zitakazo kuumiza. Shauri yako
Kesho nenda mwanza mjini tafuta duka la cosmetics lolote then muombe mwenye duka akakutambulishe kwenye maduka ya jumla, pia muulize kuhusu bei na bidhaa zinazotoka kwa haraka, ukienda kichwa kichwa muuzaji wa jumla atataka apatie faida kubwa kwako, ukijua bei ya jumla na rejareja nunua mzigo, then baada ya hapo sasa.
Piga namba hii ya mama mmoja anaitwa Mama xxxxxx yuko mwanza hapo hapo huwa anaagizwa hizo Cosmetics Uganda 07xxxxxxxx. Tafadhali sana huyo mama ni mtu mzima kwa hiyo naoma uwe serious kweli.
Hii namba uliyomuwekea huyo mama umewasiliana naye? Au ni ya kwako mwenyewe isije ikawa ndio utapeli tunaoupigia kelele hapa JF kila siku.
Hii ni bila kuathiri ushauri wako wa misitari ya mwanzo ambao nauona ni mzuri mleta mada akiuzingatia lkn maswala ya namba aachane nayo.
Afadhali umetumia lugha laini, ndugu zangu mleta mada ni mtu mzima na amewaelewa tena vizuri namba nimesha edit kama atakuwa anataka atani PM na kwa taarifa tu unaweza agiza mzigo ndio ukaja kulipa, huyo mama kwa kweli basi tu kama hamuhitaji hiyo namba mpotezeeni
Afadhali umetumia lugha laini, ndugu zangu mleta mada ni mtu mzima na amewaelewa tena vizuri namba nimesha edit kama atakuwa anataka atani PM na kwa taarifa tu unaweza agiza mzigo ndio ukaja kulipa, huyo mama kwa kweli basi tu kama hamuhitaji hiyo namba mpotezeeni
Kesho nenda mwanza mjini tafuta duka la cosmetics lolote then muombe mwenye duka akakutambulishe kwenye maduka ya jumla, pia muulize kuhusu bei na bidhaa zinazotoka kwa haraka, ukienda kichwa kichwa muuzaji wa jumla atataka apatie faida kubwa kwako, ukijua bei ya jumla na rejareja nunua mzigo, then baada ya hapo sasa.
Piga namba hii ya mama mmoja anaitwa Mama XXXXX yuko mwanza hapo hapo huwa anaagizwa hizo Cosmetics Uganda +25575574XXXXX. Tafadhali sana huyo mama ni mtu mzima kwa hiyo naoma uwe serious kweli.
Jamani wana jamvi wezangu naombeni mawazo yenu. Tuko vijana wawili tunataka kuanzisha kiji kiwanda cha kukamua mafuta ya alizet mkoani Dodoma. Tulipo fikia ni kwamba tunajua bei za machine ambazo zinaitajika pamoja na bei zake. je kuna mtu ana some experiance juu ya maswala haya ili tuweze kujuzana na tupate mwangaza.
emmanuel lukosi....kwanza napenda kukupongeza sana kwa mawazo mazuri uliyonayo...mimi binafsi naweza sema kipaji cha ujasiliali lakini nimesoma course ya ujasiliamali pale business school dar es salaam, ila nina kipaji cha kuandika mchanganuo wa biashara na pia kukuelekeza uafanyeje katika biashara yako..hivyo basi ningependa kwa yeyote ambaye angependa kufanya biashara yake ili mradi anaijua bidhaa yake, huyo moja kwa moja atakuwa tayari kuanza biashara (hapo ni endapo umeweka vitu vingine constant 'sijui maana yake kwa kiswahili'.
Sasa habari ya masoko, usindikaji utengenezaji wa brand, center ya business yako na mengine mengi waweza kukutana tukajadiliana then tukaona jinsi gani tunafanya...nina business plan nyingi tu baadhi ya hizo nimeandika mwenyewe nilishazifanyia kazi tatu tayari na zingine zipo tayari kufanyiwa kazi. Waweza nipm tukajadiliana vizuri.
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi GM Business Develepment Consult ltd watakupatia jibu
Kwa wale tayari wapo kwenye biashara lakini hawana mpango wa biashara(business Plan) na wala hawajui waanzie wapi GM Bus. Dev. Consult Ltd wanalo jibu.
Kwa wale wenye kuandaa mijadala, workshops, mikutano lakini wangependa kusaidiwa kuiandaa mijadala/workshops/Mikutano kutana nasi kwani tunaouzoefu wa kimataifa.
kwa huduma zetu mbali mbali na maelezo zaidi wasiliana nasi
Mkurugenzi
GM Business Development Consult Ltd
P.O.Box 62297 Dsm
simu 0715 737302 ama 0784 737302
barua pepe info@gmconsultz.com
tovuti www.gmconsultz.com
The website is sooooo good, thank you for sharing.