Jackson biligi New Member Joined Jul 15, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Jul 16, 2024 #1 Mwenye uzoefu na biashara ya dagaa wa kukaanga wa Mwanza au sato nanipe mwanga nataka kuanzisha biashara hiyo kupeleka Dar.
Mwenye uzoefu na biashara ya dagaa wa kukaanga wa Mwanza au sato nanipe mwanga nataka kuanzisha biashara hiyo kupeleka Dar.
T The atlantic JF-Expert Member Joined Aug 1, 2023 Posts 390 Reaction score 670 Jul 16, 2024 #2 Kuulizia Tu umefeli tayari. Why can't you do it first? Nenda front achana na kuwaza kuuza dagaa insta na online.
Kuulizia Tu umefeli tayari. Why can't you do it first? Nenda front achana na kuwaza kuuza dagaa insta na online.
THE HARD WORKER JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 231 Reaction score 338 Jul 17, 2024 #3 Jackson biligi said: Mwenye uzoefu na biashara ya dagaa wa kukaanga wa Mwanza au sato nanipe mwanga nataka kuanzisha biashara hiyo kupeleka Dar. Click to expand... Uko mkoa gan?
Jackson biligi said: Mwenye uzoefu na biashara ya dagaa wa kukaanga wa Mwanza au sato nanipe mwanga nataka kuanzisha biashara hiyo kupeleka Dar. Click to expand... Uko mkoa gan?