Mchanganuo wa biashara....ya Duka la video dvd.na audio cds + maxmalipo.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Habari wadau..
Nina mtaji wangu wa kama 2milion. Na nina idea ya kufanya biashara ya Duka la Dvds za movie za kibongo na za nje pamoja na Audio cds za music both kwaya na kawaida plus max malipo Nahitaji mchanganuo wa hiii biashara hasa kutoka kwa wataalam wa kuchanganua biashara. Naamini jf ni pahala sahihi ya kuweza kupata ushauri katika yale ninayotaka kuyafanya. Natanguliza shukrani zangu.
 
(Mchanganuo/Ushauri) v (mchanganuo^ushauri) =?
 
kwa hapa dsm mnapatikana wapi mkuuu.??

ofisi ipo mby mjini, ila hata kama uko dar, tunaweza kumaliza kazi, dunia utandawazi. Kwenye blog yetu jaza fomu kwa kuandika jina lako kamili, eneo la kuweka duka lako, anuani yako. Then tutawasiliana kwa cmu: Ofc yetu uaminifu ndo mafanikio yetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…