Mchanganuo wa ujenzi wa nyumba kijijini

Mchanganuo wa ujenzi wa nyumba kijijini

ANDERSON YM

Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
76
Reaction score
32
Nyumba vyumba 3 master kimoja, sebule,dining hall,kitchen,inaweza kuchukua tofali za block ngapi?je fundi anaweza kujenga kwa shilingi ngapi,maeneo nayotaka kuijenga ni kijijini!wenye uwelewa tafadhal[emoji122] [emoji122]
 
Ikiwa utatoa size za rooms zako mfano useme sebule ni foot 12x12 au kama unajua vipimo vya mita nitakupa makadirio yote bila gharama, cha msingi utoe ukubwa wa kila room
 
Mm cjui vipimo lkn nataka room ya wastan ambayo kitanda ya 6 by 6 itakaa na sehemu ingine ikabaki kubwa kubwa kidogo kwa ajili ya kuweka kitu ingine[emoji122] [emoji122]
 
Nitumie namba yako pm nikushauri kama hutajali
 
Mm cjui vipimo lkn nataka room ya wastan ambayo kitanda ya 6 by 6 itakaa na sehemu ingine ikabaki kubwa kubwa kidogo kwa ajili ya kuweka kitu ingine[emoji122] [emoji122]
Labda nikupe ufunguo kidogo;
Nyumba nyingi za kibongo upana na urefu ni mita 3x3, mita moja huwa inajengwa na tofali mbili
So 3x2=6. Maana yake upande mmoja wa mita 3 utalaza tofali 6.
Kumbuka nyumba room kina pande 4, hivyo zidisha 6x4=24, hii ni laini moja mzunguko wa chumba kimoja.
Kumbuka kutoka sakafuni hadi lenta au top ya kuna lain 9 za tofali,
Zidisha tofali za laini moja ambazo ni 24x9=216 haya ni mahesabu ya tofali chumba kimoja kidogo ambacho kimezoeleka hadi kwenye lenta.
Bei ya tofali inategemea uko kijiji kipi,
Pia ukumbuke hizi ni tofali za saruji/twaita block.
Note; tofali zitapungua kwa kutoa mlango na dirisha, pia kumbuka ikiwa unajenga rooms nyingi zita share ukuta hivyo idadi ya tofali zitapungua pia
 
Back
Top Bottom