Mchanganuo wake unaweza kuwa kiasi gani cha pesa?

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
143
Reaction score
204
Wakuu habari za majukumu.

Naomba niende moja Kwa moja kwenye madam.

Nataka kujenga nyumba za kupangisha ila nimechagua nyumba aina hii ya nyumba ambazo hazina corridor nyingi. Hili NI wazo tu.

Wenye uzoefu naweza tumia gharama kiasi gani katika ukamilishaji wa project hii.

Kiwanja excluded.

Location Mwanza

1000028018.jpg

Asante.
 
Attachments

  • IMG_20240813_193543.jpg
    IMG_20240813_193543.jpg
    294.9 KB · Views: 11
Kwanza kabisa naomba nitoe ushauri kidogo kabla ya kujibu swali.
1. RAMANI
Ramani (floor plan) ulioituma hapo imechorwa kwa kuforce namaanisha ukiweka dimensions (vipimo) shape yake haitakua tena hivyo otherwise ukiforce shape iwe ivoivo Kuna bedroom moja itakua na 2x2
Pia ramani imechorwa katika mazingira ya kumuumiza client kiuchumi,, namaanisha kuna ukuta na milango imewekwa ili tu kuongeza gharama za ujenzi hakuna sababu za msingi mfano mlango unaotenganisha jiko na dining pamoja na ukuta wake,, atahvyo design za kisasa saiv tunawek open kitchen yaan jiko na dinning vinakua pamoja ama vitatenganishw na ukuta mfupi.
2. Ushauri kuhusu nyumba za kupangisha
Nyumba za kupangisha ramani yake inategemea na eneo unapotaka kujenga kama ni nje ya Mji kidogo basi inafaa kua kubwa namna hyo ila kama ni central haitakiwi kua kubwa hvyo yaan kwa hyo Raman yako ingefaa kuwapangisha watu wawili tofauti yaani sebule yenye kajiko pamoja na master bedroom MARAMBILI

Mimi ni QS by professional (mkadiriaji majenzi) ukipata ramani iliotulia ama hiyohyo ukihitaj naweza kukusaidia kukuandalia mchanganuo wa gharama zake🦺🤝
 
Asante
 
Nyumba za biashara tunajenga Kwa kuwazia wateja.Tembelea Eneo Viwanja vyako vilipo upate kujua Nyumba za Kupanga zikoje,Wakazi wake Wana umri gani,familia zao ni kubwa Kiasi gani,vyanzo vya mapato vikoje.Pia Ongea na Madalali wakupe ABC.Ila Kwa trend ya Sasa,Nyumba Ambazo ni Chumba Masta,Chumba Master Sebule,Chumba Masta Sebule Jiko zinatrend Kwa Vijana single na Familia ndogo.Baada ya hapo Vyumba 2 Kimoja Master +Living room/Dining room Jiko Kwa familia kubwa.Kumbuka kuna limit ya Mtu Kupanga Kwa kuzingatia umri, Kipato na Ukubwa wa familia.Kuna age ikifika Mtu atajenga kwake hivyo hawezi Kuendelea kuwa mpangaji.Pili Mchoro jitahidi kusema na architect unataka nini Kwa kuzingatia Ukubwa wa Kiwanja.Atakupa options.Vinginevyo kila la Kheri.
 
Kwa nyumba za kupangisha hiyo demand ni kubwa itakucost, mimi sio mtaalamu Ila nna apartment zangu..
Jenga master bedroom 2, kitchen na dinning.

Halafu hii nyingine; Master bedroom 1, dinning & kitchen.
 
Wakuu habari za majukumu.

Naomba niende moja Kwa moja kwenye madam.

Nataka kujenga nyumba za kupangisha ila nimechagua nyumba aina hii ya nyumba ambazo hazina corridor nyingi. Hili NI wazo tu.

Wenye uzoefu naweza tumia gharama kiasi gani katika ukamilishaji wa project hii.

Kiwanja excluded.

Location Mwanza

View attachment 3069009
Asante.
Nikuulize swali mkuu. Kwa hayo maeneo unayotaka kujenga, nyumba kama hiyo kodi wanachaji shilingi ngapi? Nataka nikushauri kitu..
 
Back
Top Bottom