Kwanza kabisa naomba nitoe ushauri kidogo kabla ya kujibu swali.
1. RAMANI
Ramani (floor plan) ulioituma hapo imechorwa kwa kuforce namaanisha ukiweka dimensions (vipimo) shape yake haitakua tena hivyo otherwise ukiforce shape iwe ivoivo Kuna bedroom moja itakua na 2x2
Pia ramani imechorwa katika mazingira ya kumuumiza client kiuchumi,, namaanisha kuna ukuta na milango imewekwa ili tu kuongeza gharama za ujenzi hakuna sababu za msingi mfano mlango unaotenganisha jiko na dining pamoja na ukuta wake,, atahvyo design za kisasa saiv tunawek open kitchen yaan jiko na dinning vinakua pamoja ama vitatenganishw na ukuta mfupi.
2. Ushauri kuhusu nyumba za kupangisha
Nyumba za kupangisha ramani yake inategemea na eneo unapotaka kujenga kama ni nje ya Mji kidogo basi inafaa kua kubwa namna hyo ila kama ni central haitakiwi kua kubwa hvyo yaan kwa hyo Raman yako ingefaa kuwapangisha watu wawili tofauti yaani sebule yenye kajiko pamoja na master bedroom MARAMBILI
Mimi ni QS by professional (mkadiriaji majenzi) ukipata ramani iliotulia ama hiyohyo ukihitaj naweza kukusaidia kukuandalia mchanganuo wa gharama zake🦺🤝