Mchanganyiko na kipimo kwa nafaka lishe

Joined
Jan 28, 2022
Posts
42
Reaction score
43
Wadau naomba kujua KITAALAMU na AFYA ni mchanganyiko upi ni SAIHI kwenye kuchanganya nafaka zetu na kipimo mfano mahindi, mtama, ulezi, muhogo.

Natumiaga hivyo vyote ila nakutana na shauri tofauti tofauti mf kuna wanaosema haifai kuzichanganya sabb zote zina kazi moja hivyo ule kila kimoja kivyake!

Wengi tunatumia mapokeo, je watu wa nutrition mnasemaje?
 
Y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…