Mchanganyiko upi unaofaa kwa uji wa lishe?

Mchanganyiko upi unaofaa kwa uji wa lishe?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Mchanganyiko upi unafaa kwa ajili ya uji wa lishe kwa mama anaenyonyesha?
 
Mahindi, ulezi, soya, mchele, karanga, mtama mweupe, ngano, ufuta

Niliambiwa Cocoa inaongeza sana maziwa, used kuchanganya kwenye uji

Pia jaribu unga wa mbegu za maboga, kama maziwa machache au si mazito
 
Vinawekwa kwa ratio gani??? Mfano mchele kilo 2 kwa mahindi kiasi gani, karanga, soya etc?
 
Acha kutumia soya
TUMIA MCHANGANYIKO HUU:
MAHINDI KILO 5
MTAMA MWEUPE KILO 3
NGANO 1/2 KILO
BOGA 1
 
Back
Top Bottom