Wakubet Member Joined Oct 1, 2015 Posts 15 Reaction score 12 Dec 12, 2015 #1 Naomba kwa mwenye kujua faida za kunywa maziwa yaliyo changanywa na asali.Je yanasaidia ugonjwa wowote Wa tumbo?Msaada tafadhali!!.
Naomba kwa mwenye kujua faida za kunywa maziwa yaliyo changanywa na asali.Je yanasaidia ugonjwa wowote Wa tumbo?Msaada tafadhali!!.
M mpemba kapemba Member Joined Jul 30, 2015 Posts 75 Reaction score 12 Dec 12, 2015 #2 Nguvu za kiume
Wakubet Member Joined Oct 1, 2015 Posts 15 Reaction score 12 Dec 12, 2015 Thread starter #3 mpemba kapemba said: Nguvu za kiume Click to expand... Hakuna yanachosaidia kwenye mfumo Wa mmeng'enyo Wa chakula???
mpemba kapemba said: Nguvu za kiume Click to expand... Hakuna yanachosaidia kwenye mfumo Wa mmeng'enyo Wa chakula???