pakapori
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 536
- 626
Habari ya muda huu madaktari wa jf...,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, huwa kuna fununu zinazosambaa kuwa kuna baadhi ya vyakula ukivila kwa wakati mmoja huwa vinaenda kutengeneza sumu kali tumboni na kusababisha kifo kwa muda mfupi sana.
Katika pitapita zangu nilikutana na onyo linalohusisha mchanyiko wa ndizi mbivu na mayai ya kuchemsha ni hatari kwa maisha ya binadamu endapo atakula kwa wakati mmoja, kwa wenye uelewa naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhali..,