Ukitaka kwenda kwa mungu mapema kula asali changanya na magadi kisha shushia parachichi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi asali inavyothaminiwa, chances ya ajali ya asali kumwagikia majani haipo unless ufanye kusudi, na hata ukifanya kusudi asali inathamani kuliko mahindi, punje za mahindi kavu plus maji kwenye ndoo zinatosha kumuondoa ngombe/mbuzi, swala la mti kukauka kwa kutumia mfupa wa mbuzi nahisi aliyebuni alikuwa na hamu ya nyama ya mbuzi, maana unaweza kumenya maganda ya mti huo kwa aidha panga au mundo utakauka haraka sana.Kindevu94 umeleta mada nzuri kuokoa maisha ya watu na viumbe wengine.Ukichukua asali ukanyunyizia majani ng'ombe wako wakala au mbuzi wote wanakufa+ukitaka kukausha mti ambao una wasiwasi utabomoa nyumba yako mizizi yako chukua mfupa wa mbuzi usio mbichi pigilia popote kwenye mti uzame kama msumari ndani ya mwezi mti unaanza kauka
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba namba yako siri ya tigo pesa, airtel money, mpesa,halopesa, z pesa na ya benk pia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikajaribu
Nikitoweka kama joseverest alivyotoweka mjue tayari
Kuna nyingine nackia ni mchanyiko wa asali na limao huchukui round mkuuKindevu94 umeleta mada nzuri kuokoa maisha ya watu na viumbe wengine.Ukichukua asali ukanyunyizia majani ng'ombe wako wakala au mbuzi wote wanakufa+ukitaka kukausha mti ambao una wasiwasi utabomoa nyumba yako mizizi yako chukua mfupa wa mbuzi usio mbichi pigilia popote kwenye mti uzame kama msumari ndani ya mwezi mti unaanza kauka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbuzi na ng'ombe wangu walikufa kwa mtindo huoKwa jinsi asali inavyothaminiwa, chances ya ajali ya asali kumwagikia majani haipo unless ufanye kusudi, na hata ukifanya kusudi asali inathamani kuliko mahindi, punje za mahindi kavu plus maji kwenye ndoo zinatosha kumuondoa ngombe/mbuzi, swala la mti kukauka kwa kutumia mfupa wa mbuzi nahisi aliyebuni alikuwa na hamu ya nyama ya mbuzi, maana unaweza kumenya maganda ya mti huo kwa aidha panga au mundo utakauka haraka sana.
Hiyo ni uongo mkuu, nimetumia juice ya limao na asali na tangawizi kwa muda, limao na asali halina shidaKuna nyingine nackia ni mchanyiko wa asali na limao huchukui round mkuu
dah, nimekula sana utotoni hivyo vitu, na sijawahi kufa.Habari ya muda huu madaktari wa jf...,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, huwa kuna fununu zinazosambaa kuwa kuna baadhi ya vyakula ukivila kwa wakati mmoja huwa vinaenda kutengeneza sumu kali tumboni na kusababisha kifo kwa muda mfupi sana.
Katika pitapita zangu nilikutana na onyo linalohusisha mchanyiko wa ndizi mbivu na mayai ya kuchemsha ni hatari kwa maisha ya binadamu endapo atakula kwa wakati mmoja, kwa wenye uelewa naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhali..,
Labda ulikua hujajua mkuu.., sasa ushajua kama ni sumu inabidi ule ili uone kama utakufa au lah.., ukileta mrejesho tutajua hujafa ila ukikaa kimya tutajua kuwa mambo tayari hukoo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah, nimekula sana utotoni hivyo vitu, na sijawahi kufa.
Kunawatu huwa wanabasha hats wasivyo vijua:Wabobezi ebu mkuje huku jaman