Mchanganyo wa matunda haya 12 una madhara yoyote kiafya?

Mchanganyo wa matunda haya 12 una madhara yoyote kiafya?

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
matunda ninanyo changany ni
1.embe
2.karoti
3.tikiti maji
4.parachichi
5 papai
6 nanasi
7apple
8peasi
9tango
10 ndizi
11chungwa
12 zabibu
 
Mhhh mengi hayooo,usije tengeneza sumu,if i were you ningegawa asbh mchana jioni kupata variety,kuliko kumix yoote at the same time
 
Back
Top Bottom