Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) kimekemea vikali tabia za baadhi ya vyama vya siasa kuwalazimisha wananchi kususia uchaguzi ni kuwanyima haki ya msingi kwa mujibu wa katiba.
Chama husika hakishiriki uchaguzi hatua hiyo ambapo ni kinyume cha demokrasia ya kutaka kufanya jaribio la kupora haki za wananchi.
Mwenyekiti wa MECIRA, Mchange Habibu, akizungumza leo katika kipindi cha Kipindi cha Wasafi Good Morning amesema kwa kusisitiza kuwa Demokrasia inasimama juu ya misingi ya uhuru wa mtu mmoja mmoja kufanya maamuzi kwa hiari yake.
“Kila raia ana haki ya kushiriki au kutoshiriki uchaguzi kwa hiari yake. Hii ni haki ya kikatiba isiyoweza kufutwa na chama chochote. Chama kinaweza kususia, lakini haki ya wananchi kushiriki inabaki palepale. Demokrasia halisi inajengwa kwa hoja na heshima, si kwa shinikizo,” alisema.
Kuunganisha miwaya ya NIDA, INEC si kupora haki za Wananchi..Na kuendesha uchaguzi kihuni ni kufanya sio kupora haki za raia?
Mbona wako smart inakuwaje wanakuwa outsmarted na Hali wakati Wana nyenzo zote?Kama wamegoma ni wenyewe!
I mean kama Wananchi wamesusia ni kwa utashi wao si wa kulazimishwa! hakuna anayewalazimisha kususia na haiwezekani kuwazuia.Mbona wako smart inakuwaje wanakuwa outsmarted na Hali wakati Wana nyenzo zote?
Kilio cha samaki!Machozi ya samaki huenda na maji...
Msenge huyu vipi kuzuia chama Cha siasa chenye wanachama 6M kukizuia kushiriki uchaguzi !?Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) kimekemea vikali tabia za baadhi ya vyama vya siasa kuwalazimisha wananchi kususia uchaguzi ni kuwanyima haki ya msingi kwa mujibu wa katiba.