Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Natamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Pole mkuumiaka ya 2010 mpaka 2014 wanajf tulikuwa tunakutana sana...tulichangiana michango ya harusi na tulihudhuria kwa wingi .... tulifanya tour sehem kama ngorongoro,iringa, tanga dsm nk kote huko tulikutana na kupiga story na kubadilishana mawazo..by then jf was jf.....
sitahau nilipokutana na regia mtema..kisha kesho yake akaaga dunia..
Salam zimefika cha msingi tuombe uhaiHahaaaa. Usijali tutaonana one day sergio.
Na huyo special baby mama wako mwambie emmy anamsalimia. [emoji2] [emoji2]