Kwa hiyo ndio hakitumiki tena!!?Kimetupwa Mwifwa... Au we hujui
Kwa hiyo usafiri utamuomba mshana?Hamna hayo makitu huku
Kimewekwa stoo ujue... Sina uhakika kama kinatumika tenaKwa hiyo ndio hakitumiki tena!!?
Ninao ujue.. Mkiwa tayari mseme nimuombe Mshana awape maelekezo tuuKwa hiyo usafiri utamuomba mshana?
Ebu kirenew banaKimewekwa stoo ujue... Sina uhakika kama kinatumika tena
Demiss[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Hapo sawaNinao ujue.. Mkiwa tayari mseme nimuombe Mshana awape maelekezo tuu
HahaEbu kirenew bana
Unataka utoboke tena na jinsi vyuma vilivyokaza namna hiii!!!
Ha ha ha ha haaaaHaha
Nimejikuta nacheka tuu..
Hahahaaa. Vipo tena vingi tu mkuu.Sio mbaya na Vibabu nahisi kama vipo humu sio vibibi pekee
HayaHapo sawa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji120]Ha ha ha ha haaaa
Honestly speaking natamani kukutana na wewe !!Mimi natamani saana nikutane na huyu kaka anajiita Nokia83,nanyi tiririkine tuone..
Nitagharamia Usafiri,vinywaji na ChakulaHebu panga uje tuonane mke mwenza na tupange mipango mikakati ya kumfilisi yule jamaa.
Kabisa ajute kuchanganya akili kubwa mbili
Naniliuu yako!!!!!! MfyuuuNilotamani kuonana nao tayari nishaonana nao, hivyo haina haja ya kuwataja.
Hayakuhusu yakhee we kaa usubirie matokeoNitagharamia Usafiri,vinywaji na Chakula
Teh teh..Tena ngoja niandae na Camera nibaki na kumbukumbu..Najua mtaishia kupigana tuHayakuhusu yakhee we kaa usubirie matokeo