Mchangiaji maarufu Radio One na ambaye pia ni Mganga achafua hali ya hewa

Kaka achana nayo hayo lea watoto wako bana. Hayo maneno yasije kukuvunja moyo, kuwa wanawake kila baada ya miezi mitatu au sita tutatafuta mwanaume mpya. Hapana. Mimi nimeolewa mwaka 2006 had sasa nina watoto wawili nakuthibitishia sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu na wala sina tamaa na mwanaume mwingine wa nje. Hapo hapo mume wangu alienda shule U.K mwaka mzima nilikuwa busy na shughuli zangu na za familia hadi aliporudi. Napinga kwa asilimia 100%.
 
Kwa hiyooooo....hiyo inaweza kuwa sababu ya mimi na ndugu zangu wote kila mtu kuwa na mami wake....!!! [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nimeshindwa hata kuchangia aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Gentamycine....lakini why buy a book if you can borrow same form the library? hapo ndipo penye shida.

mimi sitakaa nioe katu labda mniroge!!
 
Nyie kwenu mmezaliwa wangapi? Kwa upande wako umemuamini mganga au lah?
 
Anatafuta wateja, kwa kauli aliyoitoa wengi watamfuata kutaka kujulishwa 'hali zao' katika ndoa zao.!
 
Hili suala la wanawake kucheat limekuwa overrated siku hizi. Mi nionavyo vinara ni sisi wanaume.
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…