Msaada wa kisheria juu ya hili:
Kuna mwenyekiti wa kitongoji kanifikia ana pay voucher ya mfuko wa elimu wilaya. Anaomba 5,000/= @ kichwa kwa kila raia mwenye miaka 18 bila kujali kipato chake.Kama familia ina watu 10,inatakiwa 50,000/=
je,kisheria hii ikoje? Kuna jambo natakiwa nilihoji? Au kuna chochote natakiwa nionyeshwe kwanza?
Nisaidieni maana yamenilemea.