Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama bana. Ngoja nisiseme mengi............ style ya mavazi yao yanayoitwa magwanda; ya kwangu yako kwenyhe closet, niliyavaa mara chache sana. Vyama vingine vimeanza kuiga style hiyo!
View attachment 1932078
Baada ya aliekuwa katibu mkuu wa chadema mh dr Slaa kuondoka na hoja zake nzito zilizoitingisha nchi enzi hizo kama vile ufisadi, mapambano dhidi ya ukandamizaji, haki nk. Sasa hivi chama hicho kimebaki na hoja za kuvizia viongozi wa serikali wanaoteleza kauli au kuangalia mavazi ili kuyafananisha na yao nk. Kweli vipigo vya mwaka 2015 na 2020 vimewachanganya makamanda hovyo. Hakika nyani anapokaribia kufa basi miti yote huteleza............. style ya mavazi yao yanayoitwa magwanda; ya kwangu yako kwenyhe closet, niliyavaa mara chache sana. Vyama vingine vimeanza kuiga style hiyo!
View attachment 1932078
Samahani Dudumizi, una miaka mingapi? Au na wewe ni product ya mikesha ya mwenge. Kma ungekuwepo nyakati wana mageuzi ya kweli wanapambana wakidai mfumo wa vyama vingi, ungejua Dr. Slaa alitokea wapi na ssa yuko wapi! Wapo waliohangaika juani ili watu kama Dr. Slaa ale kivulini. Ndio hao hao walitayarisha orodha ya mafisadi na kumkabidhi Dr. Slaa aisome Mwembeyanga mwaka 2008. Ukiona vyaelea, vimeundwa na Dr. Slaa ni katika waliopata hifadhi ya wanan mageuzi, alipotupwa nje na chama chake cha majizi CCM.Baada ya aliekuwa katibu mkuu wa chadema mh dr Slaa kuondoka na hoja zake nzito zilizoitingisha nchi enzi hizo kama vile ufisadi, mapambano dhidi ya ukandamizaji, haki nk. Sasa hivi chama hicho kimebaki na hoja za kuvizia viongozi wa serikali wanaoteleza kauli au kuangalia mavazi ili kuyafananisha na yao nk. Kweli vipigo vya mwaka 2015 na 2020 vimewachanganya makamanda hovyo. Hakika nyani anapokaribia kufa basi miti yote huteleza.