Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Naibu waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema kuwa Balozi zinatafuta fursa za ajira kwa kuingia mikataba ya ajira nje ya nchi, pia kuhakikisha usalama na maslahi yao.
Serikali kupitia TAESA inawezesha watanzania kuomba ajira pindi zinapotangazwa nje ya nchi.
Balozi Mbarouk amesema pia Serikali inafuatilia matangazo mbalimbali ya ajira yanayotangazwa kutoka nchi mbalimbali, kisha huziwasilisha kwa mamlaka husika.
Amesema haya wakati akijibu Swali la Mbunge mmoja aliyetata kujua mchango wa balozi wa Tanzania katika kusaidia upatikanaji wa ajira kwa Watanzania.
Soma: Balozi zetu toeni fursa kwa Wajasiriamali