Mabalozi walikuwa ENZI za Mwalimu Nyerere.
Akina Salim, Mkapa, Mahiga nk.
Hawa waliopo sasa ni zaidi ya..
Vilazaa na Mazuzu.
Kazi za Balozi ni pamoja na KUITANGAZA nchi Anayotokea Katika nchi nyingine.
-ushawishi.
Uwezo wa kutafuta Fedha.
Kuitangaza diplomasia ya Nchi.
Kutangaza msimamo wa nchi nk.
-Kutangaza utalii
Kumtangaza Raslimali zinazopatikana nchini Make Tanzania. Serengeti, Kilimanjaro, Oldphai George nk.
- Kutangaza Mila na Tamaduni zetu.
Maadili, Mavazi, utu, heshima ukarimu nk.
HAWA MABALOZI WALIOPO SASA NI WA HOVYO MNO.
Wanazidiwa hata na wale wa nyumba 10