Mchango wa mapato kwa matumizi ya taifa

Nick

Member
Joined
May 18, 2009
Posts
55
Reaction score
7
Mchango wa mapato Zanzibar,
Mimi ni mtanzania wa elimu ya kati. Kuna jambo hili la Zanzibar kuomba mchango wa fedha za matumizi kutoka mapato ya taifa. Hapa kweli nashindwa kuelewa. Ni taifa kuchangia fedha za matumizi au ni Zanzibar kuchangia mapato yao kwenye matumizi ya taifa? Hapo ndio tuu nashindwa kuelewa. Naomba mwenye utaalam na haya mambo anifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…