Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mbio za mwenge zimekuwa zikikusanya watu katika miji na vijiji mbali mbali vya Tanzania. Wakati tuendelea kujiuliza umuhimu wa kukimbiza mwenge kwenye karne hii ni vyema pia tukatafakari ni kwa jinsi gani mbio hizi za mwenge zimechangia kwenye kuchochea maabukizi ya ukimwi nchini kwani tangu ukimwi ulivyoingia nchini mbio za mwenge zimekuwa kichaka cha wananchi kufanya ngono zembe hasa sehemu unapolala mwenge huu.
WAKATI UKITAFAKARI KILA MARA CHUKUA TAHADHARI NA UJILINDE NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
WAKATI UKITAFAKARI KILA MARA CHUKUA TAHADHARI NA UJILINDE NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI