Maasha-Allah. Maasha-Allah. Maasha-Allah.
Ama kwa hakika mimi sipingani na hii taarifa hata robo ya nukta 1. You deserve it.
Wewe ni vitabu vinavyotembea, tena ni zaidi ya vitabu. Nchi yetu inakuhitaji sana katika kumbukizi za safari za Taifa Letu pendwa ; TANZANIA.
MUNGU AKUPE UMRI MREFU ZAID NA ZAID MZEE WETU.
πππ