Mchango watoto wachanga

Z kama Z

Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
60
Reaction score
10
Hi Wana JF habarini za aasubuhi.

Me niko pouwa sana kimwili ila kimawazo sio sana kuna huyu my first born wangu asumbuliwa sana na Mchango yaani usiku kucha kanalia do kiukwelnajisikia vibaya sana hata kazi haiendi vizuri hope kwa wazazi wenzangu mnanielewa before nlikuwa nampa Gripe water lakini naona kama hisaidii sana, nliomba kwa walio na uelewa zaidi wanisaidie katika hili,

But kuna kipingi nlienda DYNAFARM kuna maji fulani hivi waliniambia noi mazuri wamnaita chlorophyll plus guarana wanasema kuwa ni nzuri ss nlitaka kujua kwa wale ambao walisha jaribu kutumia waniambie if iko pouwa au kama kuna the best dawa kwa ajiri ya hiyo kitu.

Asante
Mungu awabariki na asubuhi Njema
 
pole Sana maybe u try ikishindikana ndo jaribu nyingine
 
Jaribu kumlaza kwa tumbo kila anapolala.hii inasaidia kluondoa gesi.
Pili mama ajitahidi kupunguza ulaji wa vyakula vyenye gesi nyingi
 
Kumbuka mtoto hawezi kusema kinacho msibu. Labda mnalala chumba chenye joto sana na linamduru. Sio kila mtoto anelia usiku ana mchango. Unampa gripe water ambayo haitibu joto. Jaribu kuangalia usafi wa dogo.
 
Wala sio gesi ni mchango wa kwangu alikuwa analia style hiyo doctor akasema atakapofikisha miezi mitatu atapunguza na akifikisha mwaka ataacha maana utosi utakuwa umefunga kuna mshipa unaokuwa haujakamilika kufunga ambao unasababisha tumbo kuuma na kweli ikatokea kama alivyosema.lkn hata baada yamwaka endelea kumpa dawa ya mchango hadi atakapofikisha miaka mitano especial wakati wa mawingu mchango ukiwa mkali husababisha degedege.dawa yenyewe ni shubiri iliyokaushwa inakuwa kama tanzanite hv.huwezi amini kitone kama mchanga tu unalowekwa kwenye kijiko kidogo cha maji anakunywa hapohapo anatulia nyingine ni ya kienyeji ya kupiga chafya ya kunusisha ulizia kwa wamasai au watu wazima.acha grip water dr.alisema ina madhara
 
Hiyo Shubiri ikoje? Anaeijua anitafute 0655422526
 
Aloe vera ni kama hiyo ila jinsi ya kuchanganya ndio sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…