Mchango

ema nuel

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
570
Reaction score
576
Habari wakuu poleni na majukumu, kama kichwa cha habari hapo juu naombeni msaada wenu kwa wale wenye moyo wa ubinadamu na huruma nahitaji msaada wa mchango wenu ili niweze kukamilisha kibanda changu naamini jf kwa sasa kuna zaidi ya member million 1 so ukiweza kunichangia 500 au 1000 kwa watu 5000 au 10 000 tayari nitakuwa na 2,500 000 au 5,000 000 ambayo itanisaidia kukamilisha pagala langu na kuhamia kiukweli maisha yangu ni magumu sana mtaani kazi nimeachishwa mda na ilikuwa binafsi sina jeuri jijini mama Mwenye nyumba tunasumbuana balaa naishi kwa kubahatisha tu msaada wenu tafadhali... 0769795395

Kutoa ni moyo na sio utajiri na utabarikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao memba 1M umewaona wapi? Ebu angalia statistics hapo chini.


 
Sisi wenyewe tupo juani tunatafuta hiyohiyo 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…