Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
mpwaaz,hivi neno hili MCHARUKO maana yake nini wajameni????
HAHAHAAAA, KUMBEEE, LOH.mpwaaz,
micharuko ipo uswaaz!
we unajua kupenda KI-MCHARUKO?
btw:hujasafiri mpwaaz
Hiyo ndo maana ikaitwa TBC FM, si kuna TBC taifa, kama hupendi kusikiliza mcharuko wa kina Rehema na mwenzie simply unaenda sehemu nyingine
nadhani kila kipindi kina intended audience, so naona hapo hapakufai mkuu