Mchawi kukanyaga mtego

Mchawi kukanyaga mtego

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Hivi eti wachawi wanaweza kuzulika kwa kukanyaga mitego ya panya pindi waingiapo kimiujiza kwenye majumba yetu

Halafu kwa nini wachawi hawaonekani kwenye CCTV camera
 
ushasema mchawi, wanafanya mambo kimazingara utamuonaje kwenye cctv kamera?
 
Back
Top Bottom