Mchawi mpe mwanao akulele

Mchawi mpe mwanao akulele

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Mchawi mpe mwanao akulele, ndivyo unaweza kusema baada ya Rais wa Congo , Felix Tshesekedi, kumteua aliewahi kuwa kiongozi wa waasi bwana Jean Pierre Bemba kuwa waziri wa ulinzi.Hii tafsiri yake ni kuwa "mchawi mpe mwanao akulele". Au ndio tuseme Tsheseefi ameanza kufuata nyayo za Tanzania za maridhiano.

Je hali hii inatoa tafsiri gani kwa siasa na usalama wa Congo.
 
Ungesema bemba kateuliwa nafasi gani, ili watu wachambue kua kiongozi huyo wa waasi wa zamani kwa nini kateuliwa
 
Lazima wagonge mwamba...
Kila uchao congo vinatokea vikundi vya waasi,njia pekee ya kuwamaliza waasi ni kuwafanya wapigane wao kwa wao..
 
Back
Top Bottom