Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Inasadikika nyama ya binadamu ina mafuta mengi mno. Unategemea nini sasa ikiwa mlo wao mkuu ni nyama ya binadamu wenzao.Hahaha,kazi kweli
Halafu sijui kwanini wachawi wengi wa kike huwa wanene
Maana mie kila mkoa nikienda nikionyeshwa mchawi wa kike anakuwa Mnene
Ni kama suruali na mkanda........Mhh mchawi au mganga?