Mchawi utamjua tu

wewe ni mtunzi mzuri... kuza kipaji!

BONGO MOVIES NEED YOU!

Yaani Angelikua karibu ningempiga bonge la konzi 😔😔😔😔 nimesoma hadi macho yanawasha kumbe tangazo la omo sijui foma gold😏😏
 
Yaani Angelikua karibu ningempiga bonge la konzi  nimesoma hadi macho yanawasha kumbe tangazo la omo sijui foma gold

Hahahaaaa!! pole sana kwa kusumbuliwa kihisia madam!!
mimi nilipumbazwa kabisa nikajiona bonge la kilaza..:becky:
 
Yeuwiiiiiii yeuwiiiiiiiii auwiiiiiiuii auwuuiiiiiiiiee
 
dah. siku nyingine sisomi thread zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…