Mchawi wa Bongo Flava ni msanii, shabiki au media?

new level

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2021
Posts
274
Reaction score
583
Ngoja niwasaidie kuelewa MUZIKI na Aina yake naongea Kama mwandishi wa MUZIKI .. changamoto ata sisi waandishi tunapitia mtu anakupa beat ya amapiano au ya bolingo af anakwambia niandikie isound Kama ya mtu fulani. Kwa vile analipia mwandishi atajitaidi kuweka signal flan za asili za Aina iyo ya muziki ili tu iendane na nyimbo ambazo zipo kweny trend.

Wasiojua bongo flavor .. beat lake hasa linalo tambulisha bongo flavor japo Kuna beats tofauti toafuti ila ukisema niandike muziki ambao ni 100% bongo flavor nitatafuta beat ya Mac Muga ya Ali Kiba, then nitachukua beat ya marioo inatosha chukua beat la samir nitapoa chukua beat ya diamond mbagala izi beats uki play azi sound ki Zanzibar au kibara au taifa lolote lile ni pure bongo flavor.

Ili nchi iwe na identity ya MUZIKI lazima iwe na muziki wa taratibu nawa haraka haraka Kama ilivyo SEBENE na RUMBA Kama ilivyo AFROBEAT na high Life nikimahanisha play wimbo wa wizkid then play nawa Mr Flavor au tecno najua ushaelea ukienda SA kulikuwa na kwaito ambayo saiz imezalisha amapiano pia wananyimbo zao za taratibu ambazo pia zinaasili ya SA tafuta wimbo wa mafikizolo wimbo unaitwa nemlanje ..utaelewa

Kama ilivyo hip hop na danceall
R&B na pop
Hip hop imezalisha trap
Pop imezalisha electric music

Bongo flavor hatukua namziki asilia wa haraka haraka tulipotaka kufanya mziki wa haraka tulikua tunahngukua kwenye bolingo au kwaito, sikiliza ngoma za Mr Nice, h baba bushoke zilikua na mahadhi yakikongo wasanii walikuw wakikata mauno, sikiliza ngoma za nyuma kidogo sumali hakunaga .. diamond nataka kulewa tuliangukia kwenye kwaito..

Kwasasa tumeshapata muziki wa haraka haraka ambao ni SINGELI Aina haja ya msanii wakibongo kutoa album nzima ya Amapiano. Kama ilivyokua mtu akipiga sebene lazima anyanyuke acheze ata SINGELI inaiyo nguvu yakumtoa mtu kwenye kiti.

Kama zilivo high Life, pop, electric music, danceall, Latina music, amapiano, sebene etc.

Japo sipingi sounds zingine kutumika ila lazima bongo flavor na SINGELI tuzipe kipao mbele pia ni aibu msanii wakibongo ku perform amapiano, sebene, afrobeat etc kwenye majukwaa yakimataifa bila kuperform wimbo wowote wa bongo flavor au SINGELI.

Nini mtazamo wako juu ya ili?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo muziki wa bongo umeshapoteza identity yetu kazi yetu sisi ni kukopi na kupesti amapiano, kwaito, naija fleva, sebene, kisa tu eti zinatrend na ziko sokoni.

najiuliza kwani huko sokoni tukitengeneza identity yetu sisi wabongo (yaani pure bongo fleva) hatutauza?

Maana hata leo uniulize swali , Muziki wenu wa asili ni upi? nakosa jibu maana haueleweki kabisa, wewe fanya utafiti kidogo angalia top 10 au 20 za media kubwa, asilimia kubwa ya nyimbo zilizoimbwa na wasanii wetu hakuna BONGO FLAVOUR ile halisi utakutana na amapiano mwanzo kati na mwisho, sana sana utaambulia nyimbo 2 tatu tu zenye ubongo flavour

Aliyetuloga wabongo tufate mkumbo sijui ni nani
 
Ngoja niwasaidie kuelewa MUZIKI na Aina yake naongea Kama mwandishi wa MUZIKI .. changamoto ata sisi waandishi tunapitia ..mtu anakupa beat ya amapiano au ya bolingo af anakwambia niandikie isound Kama ya mtu fulani ..kwavile analipia mwandishi atajitaidi kuweka signal flan za asili za Aina iyo ya muziki ili tu iendane na nyimbo ambazo zipo kweny trend ..

Wasiojua bongo flavor .. beat lake hasa linalo tambulisha bongo flavor japo Kuna beats tofauti toafuti ila ukisema niandike muziki ambao ni 100% bongo flavor nitatafuta beat ya Mac muga ya alikiba ..then nitachukua beat ya marioo inatosha chukua beat la samir nitapoa chukua beat ya diamond mbagala izi beats uki play azi sound ki Zanzibar au kibara au taifa lolote lile ni pure bongo flavor .

Ili nchi iwe na identity ya MUZIKI lazima iwe na muziki wa taratibu nawa haraka haraka Kama ilivyo SEBENE na RUMBA Kama ilivyo AFROBEAT na high Life nikimahanisha play wimbo wa wizkid then play nawa Mr flavor au tecno najua ushaelea ukienda SA kulikuwa na kwaito ambayo saiz imezalisha amapiano pia wananyimbo zao za taratibu ambazo pia zinaasili ya SA tafuta wimbo wa mafikizolo wimbo unaitwa nemlanje ..utaelewa

Kama ilivyo hip hop na danceall
R&B na pop
Hip hop imezalisha trap
Pop imezalisha electric music

Bongo flavor hatukua namziki asilia wa haraka haraka tulipotaka kufanya mziki wa haraka tulikua tunahngukua kwenye bolingo au kwaito .. sikiliza ngoma za mr nice , h baba bushoke zilikua na mahadhi yakikongo wasanii walikuw wakikata mauno .. sikiliza ngoma za nyuma kidogo sumali hakunaga .. diamond nataka kulewa tuliangukia kwenye kwaito..

Kwasasa tumeshapata muziki wa haraka haraka ambao ni SINGELI Aina haja ya msanii wakibongo kutoa album nzima ya amapiano .. Kama ilivyokua mtu akipiga sebene lazima anyanyuke acheze ata SINGELI inaiyo nguvu yakumtoa mtu kwenye kiti ..

Kama zilivo high Life , pop , electric music , danceall , Latina music, amapiano, sebene etc..

Japo sipingi sounds zingine kutumika ila lazima bongo flavor na SINGELI tuzipe kipao mbele pia.. niaibu msanii wakibongo ku perform amapiano, sebene , afrobeat etc.. kwenye majukwaa yakimataifa bila kuperform wimbo wowote wa bongo flavor au SINGELI ..

Nini mtazamo wako juu ya ili ?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Mchawi ni MASHABIKI MISUKULE.
 
Nipe jina la msanii wa singeli na wimbo ambao hauhusu mapenzi na matusi.
Siyo kweli zipo singeli nyingi tu hazina matusi sikiliza dulla makabila dua ..meja kunta wanga sholo mwamba kazi nawengine kibao Tena Nina play list ya singeli mix Ina lisaa na daki 36 na ushee wapo madogo wanaimba content zamaana of course vimisemo lazima viwepo ili kunogesha tu .. ila zipo singeli nzuri Sana

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli zipo singeli nyingi tu hazina matusi sikiliza dulla makabila dua ..meja kunta wanga sholo mwamba kazi nawengine kibao Tena Nina play list ya singeli mix Ina lisaa na daki 36 na ushee wapo madogo wanaimba content zamaana of course vimisemo lazima viwepo ili kunogesha tu .. ila zipo singeli nzuri Sana

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hio ngoma ya Takabali dua naielewa sana
 
Mchawi wa muziki wa bongo ni mashabiki wanafiki! Wanapenda hiphop ila kulipa viingilio vya show hawataki wala kununua content hawanunui ila wanataka wasanii wawekeze kurekodi ngoma kali!

Nyimbo wanasikiliza tokana na msanii, au stesheni mfano wanaopenda clouds ngoma zitazopigwa clouds wanazipenda na wanaopenda wasafi ngoma zikipigwa usafini wanazikubali!

Inshort washabiki wengi wa muziki wetu ni mashabiki mandazi
 
Pamoja na ww broo[emoji34][emoji34]
 
Ngoja niwasaidie kuelewa MUZIKI na Aina yake naongea Kama mwandishi wa MUZIKI .. changamoto ata sisi waandishi tunapitia ..mtu anakupa beat ya amapiano au ya bolingo af anakwambia niandikie isound Kama ya mtu fulani ..kwavile analipia mwandishi atajitaidi kuweka signal flan za asili za Aina iyo ya muziki ili tu iendane na nyimbo ambazo zipo kweny trend ..

Wasiojua bongo flavor .. beat lake hasa linalo tambulisha bongo flavor japo Kuna beats tofauti toafuti ila ukisema niandike muziki ambao ni 100% bongo flavor nitatafuta beat ya Mac muga ya alikiba ..then nitachukua beat ya marioo inatosha chukua beat la samir nitapoa chukua beat ya diamond mbagala izi beats uki play azi sound ki Zanzibar au kibara au taifa lolote lile ni pure bongo flavor .

Ili nchi iwe na identity ya MUZIKI lazima iwe na muziki wa taratibu nawa haraka haraka Kama ilivyo SEBENE na RUMBA Kama ilivyo AFROBEAT na high Life nikimahanisha play wimbo wa wizkid then play nawa Mr flavor au tecno najua ushaelea ukienda SA kulikuwa na kwaito ambayo saiz imezalisha amapiano pia wananyimbo zao za taratibu ambazo pia zinaasili ya SA tafuta wimbo wa mafikizolo wimbo unaitwa nemlanje ..utaelewa

Kama ilivyo hip hop na danceall
R&B na pop
Hip hop imezalisha trap
Pop imezalisha electric music

Bongo flavor hatukua namziki asilia wa haraka haraka tulipotaka kufanya mziki wa haraka tulikua tunahngukua kwenye bolingo au kwaito .. sikiliza ngoma za mr nice , h baba bushoke zilikua na mahadhi yakikongo wasanii walikuw wakikata mauno .. sikiliza ngoma za nyuma kidogo sumali hakunaga .. diamond nataka kulewa tuliangukia kwenye kwaito..

Kwasasa tumeshapata muziki wa haraka haraka ambao ni SINGELI Aina haja ya msanii wakibongo kutoa album nzima ya amapiano .. Kama ilivyokua mtu akipiga sebene lazima anyanyuke acheze ata SINGELI inaiyo nguvu yakumtoa mtu kwenye kiti ..

Kama zilivo high Life , pop , electric music , danceall , Latina music, amapiano, sebene etc..

Japo sipingi sounds zingine kutumika ila lazima bongo flavor na SINGELI tuzipe kipao mbele pia.. niaibu msanii wakibongo ku perform amapiano, sebene , afrobeat etc.. kwenye majukwaa yakimataifa bila kuperform wimbo wowote wa bongo flavor au SINGELI ..

Nini mtazamo wako juu ya ili ?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Erick omond kaeleza ukweli !.
ila kutokana tunaogopana au kukemea kwa vile waliokuwa juu wanaogopwa kukosolewa ndio wanaopeleka jahazi kuzama.

hii nimoja ya kujua wanafiki ambao wao utetea tu na kushambulia wanapo ambiwa kuwa wanapotea.

wakwanza.
zuchu,baba levo na n.k
 
Back
Top Bottom