THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.๐๐๐๐
Ally Kamwe alisema "Simba hii haiwez shinda Match 5 mfululizo Kamwe"
Yana anasema Viongozi wa wajibike katika Hilo walifanyie kazi daaah๐๐
Nasema mchawi wa Simba hua ni Simba nyie wenyewe..Hizo Kauli zinaanza taratibu next time itakuja kuja kwann kocha alimtoa flan ndio maana tumefungwa hapo tayar kelele zinaanza na Yanga anajikalia nafasi yake ya 1 mnabaki na Black Starz na Azam kupambania nafas yenu ya 2.
Good morning ๐ต๐น