Mchawi wa Simba hua ni Simba nyie wenyewe

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ally Kamwe alisema "Simba hii haiwez shinda Match 5 mfululizo Kamwe"

Yana anasema Viongozi wa wajibike katika Hilo walifanyie kazi daaahπŸ˜‚πŸ˜‚

Nasema mchawi wa Simba hua ni Simba nyie wenyewe..Hizo Kauli zinaanza taratibu next time itakuja kuja kwann kocha alimtoa flan ndio maana tumefungwa hapo tayar kelele zinaanza na Yanga anajikalia nafasi yake ya 1 mnabaki na Black Starz na Azam kupambania nafas yenu ya 2.

Good morning πŸ‡΅πŸ‡Ή
 
Azam hana timu ya kugombania nafasi ya pili
 
Mo aondoke, atuachie timu yetu iongozwe na HAMIS Kigwangala
 
Kuna mashabiki wanazitumia Simba kwa manufaa yao, hao ndio walikuwa wakipiga kelele Ngoma aachwe wakati mpaka Sasa hakuna kiungo aliyefikia kiwango chake, ndio wanaomsingizia Manura kala pesa wakati wanajua mbinu za kocha na usajili haukuwa mzuri.
Ndio haohao wanaopewa pesa na kuzusha migogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…